Click here to view Mama Ye! Tanzania in English

Ukurasa wa Nyumbani

Maendeleo ya wasichana = Maendeleo ya malengo
Tuwaandae wasichana kuongoza ili tufikie Malengo ya Maendeleo Endelevu
#ThaminiAfyaZetu: Kampeni mpya ya Mtandao wa Bajeti za Afya Afrika imezinduliwa
Soma habari mpya kutoka Mama Ye! Kipaumbele ni kwa mama na watoto wachanga
Nini kinatokea Tanzania?

Namba za hivi karibuni kuhusu afya ya akina mama na watoto wachanga Tanzania zikoje? Zinatofautianaje mijini na vijijini? Wasichana wakisomeshwa, inakuwa rahisi kiasi gani wao kupata fursa ya huduma ya uzazi wa mpango? 

Tume ya Habari na Uwajibikaji (COIA) hufuatilia maendeleo ya afya ya mama na mtoto na tumekusanya vielelezo vya taarifa za takwimu za hivi karibuni.

Vipitie vielelezo vyote hivyo, na upate data na uchambuzi hapa hapa.

 

Je, u mja mzito?

Kwenye ukurasa huu utapata nyenzo na taarifa muhimu zitakazoweza kukusaidia katika kipindi cha ujauzito wako. Soma zaidi

 

Pakua nyenzo bure

Tumekusanya nyenzo na rasilimali tulizoziona bora kabisa kuhusu afya ya mama na mtoto mchanga nchini Tanzania. Vipeperushi, mabango, na taarifa nyingine nyingi muhimu. Soma zaidi