Click here to view Mama Ye! Tanzania in English

Mwanzo > Mac > Uhai wa mama na watoto wachanga: ajenda muhimu ya uchaguzi Tanzania

Uhai wa mama na watoto wachanga: ajenda muhimu ya uchaguzi Tanzania

Afya ya mama na watoto wachanga imekuwa ni suala muhimu kwenye mikakati na ajenda za kidunia, lakini Tanzania inafanya ya nayostahili kwa kiwango cha kutosha kwenye hilli?

Wagombea viti vya ubunge wanazungumziaje kuhusu kuwekeza katika uhai wa mama na watoto wachanga wa Tanzania? 

Wananchi nao wanashirikishwa vipi kupanga vipaumbele na kufuatilia utakelezaji wa vipaumbele vya masuala hayo? 

Na katika kipindi hiki muhimu kwa Tanzania, je, wananchi wanawapigia kura wagombea waliojikita katika suala hili kama ajenda muhimu?

Soma zaidi toleo hili maalum la Jarida la mtandaoni la Mama Ye!

Rudi juu