Click here to view Mama Ye! Tanzania in English

Mwanzo > Mac > Viashiria vya ufuatiliaji wa Mifumo ya Afya kwa afya ya wanawake na watoto Tanzania

Viashiria vya ufuatiliaji wa Mifumo ya Afya kwa afya ya wanawake na watoto Tanzania

Kielelezo hiki cha taarifa ambacho kimeandaliwa na taasisi ya  Countdown to 2015 kinaonyesha viashiria muhimu vya mifumo ya afya kwa wanawake na watoto nchini Tanzania. Kinaonyesha takwimu kwa ajili ya upatikanaji wa mipango pamoja na gharama zake, ujumuishaji wa vifaa tiba kwa ajili ya kuomoa maisha na dawa muhimu kwenye orodha, idadi ya wahudumu wa ayfa upatikanaji wa huduma za dharura wakati wa kujifungua katika nchi nzima. Takwimu hizi zilikusanywa na kuchambuliwa kama sehemu ya ripoti maalum ya taasisi ya Tanzania Countdown to 2015 nchini Tanzania.

Kielelezo hiki kiliandaliwa ili kujenga uelewa na hamasa kwenye takwimu hizi na kuchochea matumizi ya takwimu na ushahidi kwenye uragbishi na utoaji wa maamuzi.  

To read more about progress and gaps for women's and children's health in Tanzania, click here.

To download the infographic, click here.

Countdown to 2015 & Evidence for Action. (2015). Health Systems Tracer Indicators for Women's and Children's Health in Tanzania. London: Countdown to 2015 & Evidence for Action.
Rudi juu