Click here to view Mama Ye! Tanzania in English

Mwanzo > Nyenzo

Nyenzo

Nyenzo
Nini kinatokea Tanzania

Tume ya Habari na Uwajibikaji (COIA) inafuatilia maendeleo ya afya ya mama na watoto wachanga. Kwenye ukurasa huu kuna maelezo-picha yanayoonyesha takwimu za hivi karibuni.

Je, u mjamzito?

Kwenye ukurasa huu kuna taarifa muhimu na nyenzo zinazoweza kukusaidia wakati wa ujauzito wako.

 

 

Hadithi za Mafanikio

Maeneo mengi nchini Tanzania wapo mashujaa ambao mchango wao wa kujitolea kuokoa maisha hauonekani au kutambulika.

Taarifa nyingine ni za mashirika makini, au watu kujituma kwa umoja kufanya jambo, nyingine ni simulizi za watu waliojitoa kwa dhati kufanikisha majukumu, lakini wote ni mifano ya kuigwa kabisa na kuhamasisha mashujaa wa siku zijazo nao kujituma.
Uhamishaji data bure toka tuvuti

Tume kusanya taarifa mbali mbali za manufaa kuhusiana na afya ya mama na watoto wachanga Tanzania. Vipeperushi, mabango na hata mitindo ya mashati na taarifa nyingine mahsusi. Pakua, chapisha, gawia wengine au zitumie bila gharama yoyote ile!